Msomaji : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 4: | Mstari 4: | ||
==Katika Ukristo== |
==Katika Ukristo== |
||
[[File:Salerno 2013-05-17 10-57-41.jpg|thumb|[[Mimbari]] ya Aiello katika [[kanisa kuu]] la [[Salerno]], [[Italia]].]] |
[[File:Salerno 2013-05-17 10-57-41.jpg|thumb|[[Mimbari]] ya Aiello katika [[kanisa kuu]] la [[Salerno]], [[Italia]].]] |
||
[[ |
[[Image:Ambone1.JPG|thumb|Mimbari ya [[Pieve di Lemine]] huko [[Almenno San Salvatore]], [[Wilaya ya Bergamo|Bergamo]], Italia.]] |
||
[[ |
[[Image:Christian Flag etc Covenant Presbyterian Long Beach 20050213.jpg|thumb|Mimbari ya [[Wakalvini|Kikalvini]] huko [[Chicago]], [[Marekani]].]] |
||
Katika [[Ukristo]] ni hasa [[jina]] la mtu anayesoma kutoka katika [[Biblia]] wakati wa [[ibada]], akiwa amejiandaa kutoa [[huduma]] hiyo kwa kiwango cha [[ubora]] ili [[Neno la Mungu]] lisikike vizuri. |

Pitio la 07:41, 26 Novemba 2017
Msomaji ni mtu anayesoma maandishi fulani, hasa vitabu. Kwa njia hiyo anapokea ujumbe kutoka kwa waandishi.
Katika Ukristo
Katika Ukristo ni hasa jina la mtu anayesoma kutoka katika Biblia wakati wa ibada, akiwa amejiandaa kutoa huduma hiyo kwa kiwango cha ubora ili Neno la Mungu lisikike vizuri.
Katika Kanisa Katoliki na baadhi ya madhehebu mengine, waumini wanaweza kukabidiwa huduma hiyo kwa namna ya kudumu.
Hasa wanaojiandaa kupata ushemasi na upadri wanatakiwa kupitia kwanza usomaji na usindikizi kama matayarisho kwa daraja takatifu hizo.
Viungo vya nje
- Church Reading: A Vital Ministry by Deacon Sergius Halvorsen (Orthodox)
- Photo: Tonsure of a Reader
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |