Lilian Nabora

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Lilian Nabora (amezaliwa tar.) ni mmoja wa wanaharakati wanawake wenye ushawishi nchini Tanzania na muasisi na mratibu mkuu wa kampuni ya FASDO.[1]

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Lilian Nabora alizaliwa katika wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.

Ni mmoja wa wafanyakazi katika ubalozi wa Botswana huko Brussels nchini Ubelgiji[2] akifanya kazi kwa muda wa ziada kama Msambazaji wa vifaa vya ofisi .

Lilian ni mmiliki, na mpigapicha wa Kampuni ya Creative Media, pia ni msanii wa grafiti.

Harakati[hariri | hariri chanzo]

Mnamo mwaka 2008, Lilian aliamua kurudi sehemu alikozaliwa na kuhamasisha kundi la watu 20 kwa malengo ya kuelimisha na kusaidia vijana na watoto kutokana na umaskini na ugonjwa wa UKIMWI.

Mnano mwaka 2009 alifanikiwa kusajili taasisi ya Faru Arts and Sports Development Organization (FASDO)[3].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lilian Nabora kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.