Lango:Afrika/Wasifu uliochaguliwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Wasifu Uliochaguliwa[hariri chanzo]

Wasifu Uliochaguliwa kwa Januari 2012[hariri chanzo]

Dennis Oliech

Dennis Oliech (amezaliwa tar. 2 Februari, 1985 mjini Nairobi, Kenya) ni mchezaji wa mpira wa miguu wakulipwa kutoka nchi ya Kenya, ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya AJ Auxerre katika Ligi ya kwanza ya Ufaransa. Ligi hiyo hujulikana zaidi kwa jina la Ligue 1. AJ Auxerre ni klabu mashuhuri Ufaransa na ulimwenguni kwa wafatilia soka duniani.