Koloman wa Stockerau
Mandhari
Koloman wa Stockerau (pia: Colmán, Kálmán, Colman au Colomannus; Ireland karne ya 10 – Stockerau, karibu na Vienna, Austria, 18 Oktoba 1012) alikuwa Mkristo ambaye, akielekea Nchi Takatifu kwa hija, aliteswa na kuuawa akidhaniwa ni mpelelezi[1].
Tangu kale anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake ni tarehe 17 Julai[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]"Coleman", by Aidan Breen, Dictionary of Irish Biography, page 696, volume two, 2009.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Saints at a Glance
- Saint of the Day, October 13: Coloman of Stockerau Ilihifadhiwa 19 Februari 2017 kwenye Wayback Machine. at SaintPatrickDC.org
- Saint Coloman's Day
- Catholic Online: St. Coloman
- Saint Coloman of Stockerau at Saints.SQPN.com
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |