Kamili wa Lellis
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kamilo wa Lellis)
Kamili wa Lellis (Bucchianico, wilaya ya Chieti, mkoa wa Abruzzo, leo nchini Italia, 25 Mei 1550 - Roma, 14 Julai 1614) alikuwa padri na mwanzilishi wa shirika la kitawa maalumu kwa ajili ya huduma za wagonjwa: Watumishi wa Wagonjwa, kwa kifupi M.I.
Kabla ya hapo alijiunga na jeshi bado kijana sana akaonekana kupenda anasa hadi alipoongoka na kujitosa kuhudumia waliolazwa katika hospitali ya wasiotibika kama kwamba ni Yesu mwenyewe[1].
Alitangazwa na Papa Benedikto XIV kuwa mwenye heri mwaka 1742, halafu mtakatifu mwaka 1746.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Julai[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- St. Camillus [1]
- From Dom Alban Butler's Lives of the Saints([2] Ilihifadhiwa 5 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.)
- Profile by Archbishop Alban Goodier [3] Ilihifadhiwa 9 Julai 2019 kwenye Wayback Machine.
- Website of the Camillians in the U.S.A. [4] Ilihifadhiwa 25 Julai 2011 kwenye Wayback Machine.
- Website of the international Camillian Order [5]
- Servants of St. Camillus Disaster Relief Services (SOS DRS)[6] Ilihifadhiwa 29 Septemba 2017 kwenye Wayback Machine.
- Founder Statue in St Peter's Basilica [7]
- Catholic Encyclopedia: St. Camillus de Lellis[8]
- Message of Pope Yohane Paulo II on the 450th anniversary of the birth of St. Camillus [9]
- St. Camillo page Ilihifadhiwa 27 Septemba 2012 kwenye Wayback Machine. at Christian Iconography
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |