Watumishi wa Wagonjwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wakamili au (Makleri Watawa) Watumishi wa Wagonjwa ni jina la shirika la Kanisa Katoliki lililoanzishwa na Kamili wa Lellis.

Mnamo Juni 2006, shirika lilikuwa na kanda 14, baadhi yake zikiwa na nyumba za kitawa nje ya nchi husika, k.mf. katika Jimbo Kuu la Dar-es-Salaam nchini Tanzania.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]