Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Sigor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Sigor)
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Sigor ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Pokot Magharibi. Lina Wodi 14, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Kaunti.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 1988.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988Christopher M. LomadaKANUMfumo wa Chama Kimoja
1992Philip Ruto RotinoKANU
1997Christopher M. LomadaKANU
2002Philip Ruto RotinoKANU
2007Wilson LitoleODM
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha
Batei4,107
Cheptulel2,334
Kaptabuk3,216
Lelan4,327
Lomut3,365
Masol1,273
Mwino2,195
Parua2,484
Porkoyu826
Sekerot947
Sekerr3,063
Sondany2,053
Tapach3,024
Wei Wei4,336
Jumla37,550
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]