Eneo bunge la Sigor
Mandhari
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Sigor ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Pokot Magharibi. Lina Wodi 14, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Kaunti.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 1988.
Wabunge
[hariri | hariri chanzo]Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Christopher M. Lomada | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Philip Ruto Rotino | KANU | |
1997 | Christopher M. Lomada | KANU | |
2002 | Philip Ruto Rotino | KANU | |
2007 | Wilson Litole | ODM |
Wodi
[hariri | hariri chanzo]Wodi | |
Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha |
---|---|
Batei | 4,107 |
Cheptulel | 2,334 |
Kaptabuk | 3,216 |
Lelan | 4,327 |
Lomut | 3,365 |
Masol | 1,273 |
Mwino | 2,195 |
Parua | 2,484 |
Porkoyu | 826 |
Sekerot | 947 |
Sekerr | 3,063 |
Sondany | 2,053 |
Tapach | 3,024 |
Wei Wei | 4,336 |
Jumla | 37,550 |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
[hariri | hariri chanzo]- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Sigor kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |