Jimbo la Uchaguzi la Mwingi Kusini
Jump to navigation
Jump to search
Jimbo la Uchaguzi la Mwingi Kusini ni mojawapo ya majimbo 210 ya uchaguzi nchini Kenya. JImbo hili linapatikana katika Wilaya ya Mwingi, miongoni mwa majimbo mawili ya wilaya hiyo iliyoko Mkoa wa Mashariki wa Kenya.
Jamhuri ya Kenya |
![]() Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia[hariri | hariri chanzo]
JImbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1997.
Wabunge[hariri | hariri chanzo]
Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1997 | David Musila | KANU | |
2002 | David Musila | NARC | |
2007 | David Musila | ODM-Kenya |
Kata na Wodi[hariri | hariri chanzo]
Kata | |
Kata | idadi ya Watu* |
---|---|
Kalitini | 7,689 |
Kiomo | 18,391 |
Kyome | 11,312 |
Migwani | 21,180 |
Mui | 10,544 |
Mumbuni | 15,462 |
Mutyangome | 6,286 |
Nguutani | 19,285 |
Nuu | 9,023 |
Thitani | 15,539 |
Ukasi | 12,951 |
Wingemi | 9,707 |
Jumla | x |
*Hesabu ya 1999 [2]. |
Wodi | ||
Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha | Utawala wa Mtaa |
---|---|---|
Katalwa / Nzeluni | 4,950 | Mwingi (Mji) |
Kavuvwani | 4,441 | Mwingi (Mji) |
Kyethani / Kiomo | 6,449 | Mwingi (Mji) |
Kalitini / Mui | 7,023 | Mwingi county |
Kyome | 3,912 | Mwingi county |
Mutyangome | 1,954 | Mwingi county |
Nguutani | 6,210 | Mwingi county |
Nuu | 3,203 | Mwingi county |
Thitani | 5,703 | Mwingi county |
Ukasi | 4,678 | Mwingi county |
Wingemi | 3,289 | Mwingi county |
Jumla | 59,527 | |
*Septemba 2005 [3].
|
Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]
Virejeleo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ information.go.ke: CDF allocation by sector and location (2003-6)
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]