Eneo bunge la Mwala
Mandhari
(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Mwala)
Eneo bunge la Mwala ni moja kati ya Majimbo 290 ya uchaguzi nchini Kenya. Linapatikana katika Kaunti ya Machakos, miongoni mwa majimbo naneya kaunti hiyo. Jimbo hili lina wodi saba, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Masaku County.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
[hariri | hariri chanzo]Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1988.
Wabunge
[hariri | hariri chanzo]Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Gideon Nzioka Wambua | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Peter M. Kavisi | KANU | |
1997 | John Mutua Katuku | SDP | |
2002 | John Mutua Katuku | KANU | |
2007 | Daniel Muoki | ODM-Kenya |
Kata na Wodi
[hariri | hariri chanzo]Kata | |
Kata | Idadi ya Watu |
---|---|
Ikalaasa | 9,979 |
Kibauni | 10,643 |
Masii | 26,717 |
Mbiuni | 33,373 |
Miu | 13,741 |
Muthetheni | 17,816 |
Mwala | 35,425 |
Vyulya | 11,850 |
Wamunyu | 14,462 |
Yathui | 13,123 |
Jumla | 187,129
|
Wodi | |
Wodi | Wapiga Kura Waliojisajili |
---|---|
Kibauni / Ikalaasa | 7,266 |
Masii | 9,839 |
Mbiuni / Kathama | 11,820 |
Muthetheni / Miu | 10,840 |
Mwala | 12,961 |
Vyulya | 4,284 |
Wamunyu / Yathui | 10,141 |
Jumla | 67,151 |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
[hariri | hariri chanzo]- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Mwala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |