Eneo bunge la Masinga
Mandhari
(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Masinga)
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Masinga ni moja kati ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo nane katika Kaunti ya Machakos. Jimbo hili lina wodi saba, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Masaku County.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi mkuu wa 1988.
Wabunge
[hariri | hariri chanzo]Uchaguzi | Mbunge | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Simon Kitheka Kiilu | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Ronald John Kiluta | KANU | |
1997 | Ronald John Kiluta | KANU | |
2002 | Benson Itwiku Mbai | NARC | |
2007 | Benson Itwiku Mbai | ODM-Kenya |
Kata na Wodi
[hariri | hariri chanzo]Kata | |
Kata | Idadi ya Watu |
---|---|
Ekalakala | 12,406 |
Ikaatini | 7,424 |
Kangonde | 15,971 |
Kithyoko | 17,821 |
Kivaa | 18,797 |
Mananja | 11,754 |
Masinga | 18,186 |
Muthesya | 14,145 |
Ndithini | 13,466 |
Jumla | 129,970 |
Wodi | |
Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha |
---|---|
Ekalakala / Ikaatini | 6,787 |
Kangonde | 5,135 |
Kithyoko | 5,617 |
Kivaa | 6,116 |
Masinga | 6,067 |
Muthesya | 4,484 |
Ndithini / Mananja | 8,005 |
Jumla | 42,211 |
*Septemba 2005
|
Tazama Pia
[hariri | hariri chanzo]- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Masinga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |