Jimbo la Uchaguzi la Machakos Mjini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Jamhuri ya Kenya
Coat-of-arms-DETAILED-rgb.png

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
KenyaNchi zingine · Atlasi


Jimbo la Uchaguzi la Machakos Mjini ni mojawapo ya Majimbo 210 ya uchaguzi ya Kenya. Jimbo hili linnapatikana katika Kaunti ya Machakos, mashariki mwa Kenya.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 1988. Mbunge wake wa kwanza alikuwa John Kyallo.

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 John Kyallo KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 John Kyallo KANU
1994 Alphonce Mbinda Musyoki KANU Uchaguzi mdogo
1997 Jonesmus Mwanza Kikuyu SDP
2002 Fredrick Daudi Mwanzia NARC
2007 Victor Munyaka ODM-Kenya

Kata na Wodi[hariri | hariri chanzo]

Kata
Kata Idadi[2]
Kalama 21,702
Katheka Kai 17,485
Kiima-Kimwe 22,741
Kimutwa 17,265
Kola 14,567
Lumbwa 13,609
Masaku 19,980
Mau Hills 8,579
Mumbuni 49,802
Muputi 12,156
Mutituni 14,300
Ngelani 11,989
Jumla x
Wards
Wodi Wapiga Kura Baraza la Utawala wa Mitaa
Eastleigh 11,027 Munisipali ya Machakos
Kalama / Kyangala 7,935 Masaku County
Katheka Kai 5,183 Munisipali ya Machakos
Kiima-Kimwe / Muvuti 9,897 Munisipali ya Machakos
Kimutwa 5,829 Munisipali ya Machakos
Mjini 8,166 Munisipali ya Machakos
Mua 2,937 Munisipali ya Machakos
Mumbuni North 6,606 Munisipali ya Machakos
Mumbuni South 6,087 Munisipali ya Machakos
Mutituni 5,528 Munisipali ya Machakos
Muumandu / Kola 8,629 Masaku County
Ngelani 5,095 Munisipali ya Machakos
Jumla 82,919
*Septemba 2005 [3].

Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]