Jimbo la Uchaguzi la Lugari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Jamhuri ya Kenya
Coat-of-arms-DETAILED-rgb.png

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
KenyaNchi zingine · Atlasi


Jimbo la Uchaguzi la Lugari ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi ya Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Kakamega. Eneo lote lina wodi nane, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Lugari county.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Burudi Nabwera KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Apilli Waomba Wawire KANU
1997 Cyrus Jirongo KANU
2002 Enoch Wamalwa Kibunguchy NARC
2007 Cyrus Jirongo KADDU

Kata na Wodi[hariri | hariri chanzo]

Kata
kata Idadi ya Watu*
Chekalini 20,322
Kongoni 44,58
Likuyani 26,169
Lugari 29,377
Lumakanda 30,994
Mautuma 26,077
Nzoia 18,631
Sinoko 21,207
Jumla x
*Hesabu ya 1999 [2].
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojisajili
Chekalini 6,421
Kongoni 13,265
Likuyani 8,391
Lugari 8,784
Lumakanda 10,000
Mautuma 7,611
Nzoia 9,066
Sinoko 7,606
Jumla 71,144
*Septemba 2005 [3].

Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]