Nenda kwa yaliyomo

Cyrus Jirongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Cyrus Shakhalaga Khwa Jirongo, maarufu kama Cyrus Jirongo, ni mwanasiasa na mbunge wa zamani nchini Kenya. Kati ya mwaka 1978 na 1981 alisoma katika shule ya upili ya Mang'u.mwaka 1991 alikuwa mwenyekiti wa klabu ya mpira wa miguu ya AFC Leopards.[1] He became the chairman of AFC Leopards football club in 1991.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]