Eneo bunge la Lugari
Mandhari
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Lugari ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi ya Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Kakamega. Eneo lote lina wodi nane, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Lugari county.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.
Wabunge
[hariri | hariri chanzo]Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Burudi Nabwera | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Apilli Waomba Wawire | KANU | |
1997 | Cyrus Jirongo | KANU | |
2002 | Enoch Wamalwa Kibunguchy | NARC | |
2007 | Cyrus Jirongo | KADDU |
Kata na Wodi
[hariri | hariri chanzo]Kata | |
kata | Idadi ya Watu* |
---|---|
Chekalini | 20,322 |
Kongoni | 44,58 |
Likuyani | 26,169 |
Lugari | 29,377 |
Lumakanda | 30,994 |
Mautuma | 26,077 |
Nzoia | 18,631 |
Sinoko | 21,207 |
Jumla | x |
*Sensa ya 1999. |
Wodi | |
Wodi | Wapiga Kura Waliojisajili |
---|---|
Chekalini | 6,421 |
Kongoni | 13,265 |
Likuyani | 8,391 |
Lugari | 8,784 |
Lumakanda | 10,000 |
Mautuma | 7,611 |
Nzoia | 9,066 |
Sinoko | 7,606 |
Jumla | 71,144 |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
[hariri | hariri chanzo]- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Lugari kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |