Eneo bunge la Laisamis
Mandhari
(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Laisamis)
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge Laisamis ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Kenya. Jjmbo hili linapatikana katika Kaunti ya Marsabit, mashariki mwa nchi. Eneo lote la jimbo hilo limo katika baraza la Marsabit County.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.
Wabunge
[hariri | hariri chanzo]Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Samuel Ntontoi Bulyaar | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Robert Iltaramatwa Kochalle | KANU | |
1997 | Robert Iltaramatwa Kochalle | KANU | |
2002 | Titus Ngoyoni | KANU | Ngoyoni aliaga katika ajali ya ndege mnamo 2006 [2]. |
2006 | Joseph Lekuton | KANU | Uchaguzi Mdogo |
2007 | Joseph Lekuton | KANU |
Kata na Wodi
[hariri | hariri chanzo]Kata | |
Kata | Idadi ya Watu* |
---|---|
Illaut/Ngurunit | 5,038 |
Kargi | 5,609 |
Korr | 8,018 |
Laisamis | 9,066 |
Logologo | 4,057 |
Loiyangalani | 8,049 |
Merille | 3,032 |
Mount Kulal | 3,910 |
South Horr | 3,071 |
Jumla | 49,850 |
*Hesabu ya 1999. |
Wodi | |
Wodi | Wapiga Kura waliojiandikisha |
---|---|
Korr | 4,494 |
Laisamis | 3,429 |
Logologo | 1,763 |
Loiyangalani | 2,077 |
Mount Kulal | 1,077 |
South Horr | 2,755 |
Jumla | 15,595 |
*Septemba 2005 [3].
|
Tazama Pia
[hariri | hariri chanzo]- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ BBC News, 10 Aprili 2006: Air crash kills Kenya politicians
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Laisamis kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |