Nenda kwa yaliyomo

Joseph Lekuton

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Joseph Lemasolai Lekuton[1][2] (alizaliwa 1968 au 1969) [3] ni mwanasiasa wa Kenya, mwanachama wa Orange Democratic Movement (ODM) na alichaguliwa kuwakilisha eneo bunge la Laisamis katika bunge la kitaifa la Kenya tangu uchaguzi wa bunge 2007 na kuchaguliwa tena mwaka wa 2013. [4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "A Warrior In Two Worlds", Washingtonian, September 1, 2004. "Lekuton, 35" 
  2. Herman Viola; Joseph Lemasolai Lekuton (2005). Facing the Lion: Growing Up Maasai on the African Savanna. Random House Penguin.
  3. "Members Of The 10th Parliament". Parliament of Kenya. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-07-01. Iliwekwa mnamo Juni 19, 2008.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Macharia, Hunja (2022-08-18). "7 UDM MPs ditch Azimio to join Kenya Kwanza Alliance". KBC (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-08-18.