Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Kilome

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Kilome)
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Eneo bunge la Kilome ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Linapatikana katika kaunti ya Makueni, Mashariki mwa Kenya, miongoni mwa majimbo sita ya kaunti hiyo. Jimbo hili lina wodi tatu, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Makueni County. Mji wa Sultan Hamud umo katika jimbo hili la uchaguzi.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo la Kilome lilibuniwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Kenya wa 1988.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Gervais Mutunga Maingi KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Anthony Wambua Ndilinge KANU
1997 Anthony Wambua Ndilinge KANU Ndilinge aliuawa mnamo 2001
2001 John Mutinda Mutiso KANU Uchaguzi mdogo
2002 John Mutinda Mutiso NARC
2007 John Harun Mwau PICK

Kata na Wodi

[hariri | hariri chanzo]
Wodi
Wodi Wapiga Kura waliojisajili
Kalanzoni / Kiima Kiu 9,634
Kasikeu 14,857
Mukaa / Kitaingo 11,437
Jumla 35,928
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]