Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Kilome

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Kilome ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Linapatikana katika kaunti ya Makueni, Mashariki mwa Kenya, miongoni mwa majimbo sita ya kaunti hiyo. Jimbo hili lina wodi tatu, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Makueni County. Mji wa Sultan Hamud umo katika jimbo hili la uchaguzi.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo la Kilome lilibuniwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Kenya wa 1988.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988Gervais Mutunga MaingiKANUMfumo wa Chama Kimoja
1992Anthony Wambua NdilingeKANU
1997Anthony Wambua NdilingeKANUNdilinge aliuawa mnamo 2001
2001John Mutinda MutisoKANUUchaguzi mdogo
2002John Mutinda MutisoNARC
2007John Harun MwauPICK

Kata na Wodi

[hariri | hariri chanzo]
Wodi
Wodi Wapiga Kura waliojisajili
Kalanzoni / Kiima Kiu9,634
Kasikeu14,857
Mukaa / Kitaingo11,437
Jumla35,928
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]