Eneo bunge la Kathiani
Mandhari
(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Kathiani)
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Kathiani ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili ni moja ya majimbo ya Kaunti ya Machakos, Mashariki mwa Kenya.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1988. Mbunge wake wa Kwanza alikuwa Laban Maingi Kitele.
Wabunge
[hariri | hariri chanzo]Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Laban Maingi Kitele | KANU | Mfumo wa chama kimoja |
1992 | Jackson Kimeu Mulinge | KANU | |
1997 | Peter Kyalo Kaindi | SDP | |
2002 | Peter Kyalo Kaindi | NARC | |
2007 | Ndeti Wavinya | CCU |
Kata na Wodi
[hariri | hariri chanzo]Kata | |
Kata | Idadi ya Watu |
---|---|
Iveti | 29,573 |
Kaewa | 24,751 |
Katani | 13,984 |
Kathiani | 27,377 |
Lukenya | 29,573 |
Mitaboni | 35,148 |
Settled Area | 28,051 |
Jumla | x |
Wodi | ||
Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha | Utawala wa Mitaa |
---|---|---|
Athi River West | 6,934 | Munisipali ya Mavoko |
Iveti | 11,109 | Baraza la Masaku County |
Kaewa | 8,449 | Baraza la Masaku County |
Katani | 5,806 | Munisipali ya Mavoko |
Kathiani | 10,094 | Baraza la Masaku County |
Kinanie / Mathatani | 4,291 | Munisipali ya Mavoko |
Makadara | 7,691 | Munisipali ya Mavoko |
Mitaboni | 12,828 | Baraza la Masaku County |
Muthwani | 1,921 | Munisipali ya Mavoko |
Sophia / Kenya Meat | 7,324 | Munisipali ya Mavoko |
Jumla | 76,447 | |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
[hariri | hariri chanzo]- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Kathiani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |