Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Kathiani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Eneo bunge la Kathiani ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili ni moja ya majimbo ya Kaunti ya Machakos, Mashariki mwa Kenya.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1988. Mbunge wake wa Kwanza alikuwa Laban Maingi Kitele.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Laban Maingi Kitele KANU Mfumo wa chama kimoja
1992 Jackson Kimeu Mulinge KANU
1997 Peter Kyalo Kaindi SDP
2002 Peter Kyalo Kaindi NARC
2007 Ndeti Wavinya CCU

Kata na Wodi

[hariri | hariri chanzo]
Kata
Kata Idadi ya Watu
Iveti 29,573
Kaewa 24,751
Katani 13,984
Kathiani 27,377
Lukenya 29,573
Mitaboni 35,148
Settled Area 28,051
Jumla x
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha Utawala wa Mitaa
Athi River West 6,934 Munisipali ya Mavoko
Iveti 11,109 Baraza la Masaku County
Kaewa 8,449 Baraza la Masaku County
Katani 5,806 Munisipali ya Mavoko
Kathiani 10,094 Baraza la Masaku County
Kinanie / Mathatani 4,291 Munisipali ya Mavoko
Makadara 7,691 Munisipali ya Mavoko
Mitaboni 12,828 Baraza la Masaku County
Muthwani 1,921 Munisipali ya Mavoko
Sophia / Kenya Meat 7,324 Munisipali ya Mavoko
Jumla 76,447
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]