Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Kapenguria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Kapenguria ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo manne katika kaunti ya Pokot Magharibi.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988Francis Polisi Loile LotodoKANUMfumo wa Chama Kimoja
1990E.L. LotimKANUUchaguzi Mdogo, Mfumo wa Chama Kimoja
1992Francis Polisi Loile LotodoKANU
1997Francis Polisi Loile LotodoKANU
2001Samuel Chumel MorotoKANUUchaguzi Mdogo
2002Samuel Chumel MorotoKANU
2007Julius MurgorODM

Kata na Wodi

[hariri | hariri chanzo]
Kata
Kata Idadi ya Watu*
Chekomos2,385
Chemwochoi3,887
Chepkopegh12,146
Endugh5,896
Kaibos4,167
Kaisagat8,119
Kanyarkwat6,451
Kapenguria14,607
Kapkoris10,123
Keringet3,045
Kipkomo9,277
Kishaunet13,661
Miskwony5,825
Mnangei15,379
Nakwijit2,605
Ptoyo6,153
Riwo8,601
Senetwo5,403
Serewo3,992
Sook2,944
Talau4,964
Tamugh4,839
Ywalateke8,361
Jumlax
*Hesabu ya 1999.
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha Utawala wa Mitaa
Chekomos626Pokot County
Chemwochoi1,492Munisipali ya Kapenguria
Chepareria / Kosulol2,459Chepareria (Mji)
Chepkopegh3,101Pokot County
Endugh1,412Pokot County
Kaibos1,118Munisipali ya Kapenguria
Kanyarkwat2,203Pokot County
Kapchemogen1,301Chepareria (Mji)
Kapenguria4,056Munisipali ya Kapenguria
Kapenguria North2,298Pokot County
Keringet / Psigirio3,091Munisipali ya Kapenguria
Keringet2,012Pokot County
Kisiaunet4,280Munisipali ya Kapenguria
Miskwony1,634Pokot County
Nakwijit545Pokot County
Ptoyo1,511Pokot County
Riwo3,417Pokot County
Senetwo1,528Chepareria (mji)
Siyoi2,336Munisipali ya Kapenguria
Sook832Pokot County
Talau1,413Munisipali ya Kapenguria
Tamugh1,305Pokot County
Ywalateke1,216Chepareria (Mji)
Jumla45,186
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]