Eneo bunge la Imenti Kusini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Eneo bunge la Imenti Kusini ni Jimbo la Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya Majimbo tisa ya Kaunti ya Meru.

Ina Wodi nane za Udiwani, yote yakichagua madiwani kwa eneo la Udiwani la Meru Central County.

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo vya ziada
1988 Gilbert Kabeere Mbijjewe KANU Mfumo wa Chama kimoja.
1992 Kiraitu Murungi Ford-K
1997 Kiraitu Murungi DP
2002 Kiraitu Murungi NARC
2007 Kiraitu Murungi PNU

Wodi za Udiwani[hariri | hariri chanzo]

Wodi a Udiwani
Wodi Wapiga Kura waliojiandikisha
Abogeta 11,986
Igoji 12,241
Igoki 9,978
Kanyakine 7,738
Mikumbune 6,517
Mitiine 12,393
Mitunguu 7,143
Mkuene 13,688
Jumla 81,684
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]

Kiraitu Murungi

Marejeo[hariri | hariri chanzo]