Eneo bunge la Butula
Mandhari
(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Butula)
Eneo bunge la Butula ni mojawapo ya majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili hupatikana katika kaunti ya Busia, magharibi mwa Kenya, miongoni mwa majimbo saba katika kaunti hiyo.
Lina wodi nne ambazo huwachagua madiwani kwa baraza la Busia County.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
[hariri | hariri chanzo]Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi mkuu wa 1997.
Wabunge
[hariri | hariri chanzo]Uchaguzi | MP [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1997 | Yekoyada F. O. Masakhalia | KANU | |
2002 | Christine Abungu Mango | NARC | |
2007 | Alfred Odhiambo | ODM |
Wodi
[hariri | hariri chanzo]Wodi | |
Wodi | Wapiga Kura Wliojisajili |
---|---|
Marachi Central | 9,245 |
Marachi East | 8,671 |
Marachi North | 9,762 |
Marachi West | 7,951 |
Jumla | 35,629 |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Butula kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |