Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Imenti Kaskazini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Imenti Kaskazini)
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Imenti Kaskazini ni Jimbo la Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo tisa ya Kaunti ya Meru.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa kwa uchaguzi wa 1988.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo zaidi
1988Jackson Harvester AngaineKANUMfumo wa Chama Kimoja
1992Daudi MwirariaDP
1997Daudi MwirariaDP
2002Daudi MwirariaNARC
2007Silas MuriukiMazingira

Wodi za udiwani

[hariri | hariri chanzo]
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliosajiliwa
Cathedral3,242Munisipali ya Meru
Central3,095Munisipali ya Meru
Chugu9,576Meru Central County
Commercial3,281Munisipali ya Meru
Gakoromone3,189Munisipali ya Meru
Giaki6,368Meru Central County
Hospital3,606Munisipali ya Meru
Kaaga4,254Munisipali ya Meru
Kiirua10,848Meru Central County
Kirimara9,101Meru Central County
Kisima6,201Meru Central County
Milimani2,891Munisipali ya Meru
Mwendantu2,271Munisipali ya Meru
Ntakira9,913Meru Central County
Ontulili4,882Meru Central County
Ruiri7,629Meru Central County
Stadium4,975Munisipali ya Meru
Thuura7,179Meru Central County
Jumla102,501
*Septemba 2005
[2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]