Henoko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mungu akimtwaa Henoko.
Elia na Henoko katika mchoro wa karne ya 17, Historic Museum in Sanok, Poland.

Henoko ni jina la watu wawili katika Biblia:

  • mmoja alikuwa mtoto wa kwanza Kaini (Mwa 4:17);
  • mwingine alikuwa mtoto wa Yaredi na baba wa Metuselah, ambaye akawa babu wa Nuhu (Mwanzo 5:21-23). Mwisho wa ajabu wa maisha yake ulisababisha mapokeo ya kwamba alitwaliwa mbinguni (YbS 44:16; Eb 11:5). Kwa sababu hiyo alitumiwa kama mhusika mkuu katika maandishi mbalimbali ya kabla ya Kristo, na hata ya baada yake, hasa katika Kitabu cha Henoko. Katika Uislamu anaheshimiwa kama nabii kwa jina la Idris.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]