Kabla ya Kristo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kabla ya Kuzaliwa kwake Yesu Kristo (kifupi: KK) ni namna ya kutaja miaka.

Hesabu hii imekuwa njia ya kuhesabu miaka inayotumika zaidi duniani siku hizi. Kila mwaka huhesabiwa kuanzia mwaka unaodhaniwa kuwa mwaka wa kuzaliwa kwake Kristo. Miaka iliyofuata baada ya kuzaliwa kwake huitwa Baada ya Kristo au kifupi: BK.

Kuhusu historia ya hesabu hii tazama: Historia ya Hesabu "Kabla ya / Baada ya Kristo"