Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Katanga Juu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Haut-Katanga)


Mkoa wa Katanga Juu
Haut-Katanga
Mahali paMkoa wa Katanga Juu Haut-Katanga
Mahali paMkoa wa Katanga Juu
Haut-Katanga
Mahali pa Mkoa wa Katanga Juu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Majiranukta: 11°40′S 27°28′E / 11.667°S 27.467°E / -11.667; 27.467
Nchi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Wilaya 6
Mji mkuu Lubumbashi
Serikali
 - Gouverneur
Eneo
 - Jumla 132,425 km²
Idadi ya wakazi (2020)
 - Wakazi kwa ujumla 5,718,800

Mkoa wa Katanga ya Juu ni mmojawapo kati ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Idadi ya wakazi wake ni takriban 5,718,800.

Mji mkuu ni Lubumbashi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


 
Mikoa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Bandera Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Équateur | Ituri | Kasai | Kasai Kati | Kasai Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Uele Chini | Uele Juu
+/-
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Katanga Juu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.