Hamira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Hamira ni kiungo kinachowekwa kwenye chakula kama andazi, kitumbua na kadhalika.

Kazi ya hamira ni kuumua chakula hicho.

WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Hamira" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.