Andazi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Video fupi ya utayarishaji wa maandazi

Andazi (kutoka kitenzi "andaa") ni aina ya chakula kitamu inayotengenezwa kwa kutumia ngano, hamira, mafuta, sukari na maji.

Watu wengi hupenda kutumia maandazi kama kitafunwa pamoja na kinywaji cha moto wakati wa kifunguakinywa.

Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andazi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.