Nenda kwa yaliyomo

Ngagi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Gorila)
Ngagi

Uainishaji wa kisayansi
Domeni: Eukaryota (Viumbe walio na seli zenye kiini)
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Primates (Wanyama wanaofanana kiasi na binadamu)
Nusuoda: Haplorrhini (Wanyama wanaofanana zaidi na kima)
Oda ya chini: Simiiformes (Wanyama kama kima)
Familia ya juu: Hominoidea (Masokwe)
Familia: Hominidae (Masokwe wakubwa)
Nusufamilia: Homininae
Kabila: Gorillini
Jenasi: Gorilla (Ngagi)
I. Geoffroy, 1852
Ngazi za chini

Spishi 2:

Msambao wa spishi za ngagi: nyekundu - G. gorilla, njano - G. beringei
Msambao wa spishi za ngagi: nyekundu - G. gorilla, njano - G. beringei

Ngagi ni wanyama wakubwa wa jenasi Gorilla katika familia Hominidae. Ngagi wanaishi katika maeneo ya tropiki ya Afrika.