Frozen 1
Makala haina vyanzo vya kutosha
|
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote. Ona namna ya kutaja vyanzo hapa:Wikipedia:Umaarufu na Kutaja vyanzo. Ni lazima kuboresha makala kwa kutafuta vyanzo na kuvitaja kama marejeo. Bila masahihisho hayo sehemu za makala au yote inaweza ikafutwa. |
![]() | Kuna pendekezo la kufuta makala hii. Ona majadiliano kwenye ukurasa wa majadiliano na hapa. |
Frozen 1 ni katuni ya mwaka 2013 kutoka Marekani inayowahusu watoto wawili wa mfalme; mmoja anaitwa Anna na mwingine anaitwa Elsa. Elsa alikuwa ndiye mkubwa na alikuwa amezaliwa na uwezo wa kutowa barafu mikononi.sikumoja wazazi wao walisafiri na katika safari hiyo njiani kwa bahati mbaya walipata ajali. Ajali hiyo ilisababisha wakapotezamaisha,baada ya hapo mtoto wao mkubwa Elsa alikuwa malkia katika mji uitwao Dameski lakini ilipogundulika kuwa ananguvu za ajabu walimkataa na kutaka kumuua. Kujisaindia alikimbia na kwenda kuishi mbali ili asije akawadhuru kwa nguvuzake.
Mdogo wake ambaye ni Anna aliamua kumfuata dada yake ambaye ni Elsa kwenda naye katika mji unaoitwa Dameski akawe malkia wao akakubali alivyo jua kuzikontrolunguvuzake nakuenda pamoja naye.Mwisho wananchi walimkubalia akawa mtawala wao malikia Elsa.
![]() |
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Frozen 1 kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |