Nenda kwa yaliyomo

Fire

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Fire”
“Fire” cover
Kava ya Fire
Single ya Diamond Platnumz na Tiwa Savage
kutoka katika albamu ya A Boy from Tandale
Imetolewa 21 Juni, 2017
Muundo Upakuzi wa mtandaoni
Imerekodiwa 2017
Aina Bongo Flava, Afro-pop
Urefu 3:36
Studio Wasafi Records
Mtunzi Diamond Platnumz
Tiwa Savage
Mtayarishaji Laizer Classic
Mwenendo wa single za Diamond Platnumz na Tiwa Savage
"Marry You"
"(2016)"
"Fire"
"(2017)"
"Eneka"
(2017)

"Fire" ni jina la wimbo uliotoka tarehe 21 Juni, 2017 kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania - Diamond Platnumz akimshirikisha Tiwa Savage kutoka nchini Nigeria. Wimbo unatoka katika albamu ya A Boy From Tandale na wa tano kutolewa kama single kutoka katika albamu hiyo. Wimbo umetayarishwa na Laizer Classic kupitia studio za Wasafi Records. Video imetengenezwa huko jijini Johannesburg, Afrika Kusini chini ya uongozi wake NIC, ambaye ametengeneza video nyingi za Wasafi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]