Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Shinyalu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Eneo bunge la Shinyalu ni mojawapo ya majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili ni moja kati ya majimbo kumi na mawili katika kaunti ya Kakamega.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Japheth Livasia Lijoodi KANU Mfumo wa CHama Kimoja
1992 Japheth G. Shamalla KANU
1997 Daniel Lyula Khamasi Ford-K
2002 Daniel Lyula Khamasi NARC
2007 Charles Lugano ODM Lugano aliaga dunia mnamo 2009 [2].
2009 Justus Kizito ODM Uchaguzi Mdogo [3].

Jimbo hili lina wodi sita, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Kakamega County.

Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojisajili
Ilesi 6,649
Ivihiga 6,057
Kambiri 7,919
Khayega 13,768
Murhanda 9,935
Shibuye 12,283
Jumla 56,611
*Septemba 2005 [4].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]