Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Limuru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Limuru ni mojawapo ya Majimbo 290 ya uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo kumi na mawili yaliyo katika kaunti ya Kiambu.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa mnamo Uchaguzi Mkuu wa 1963, mwaka ambapo Kenya ilipata uhuru. Mbunge wake wa kwanza alikuwa James Samuel Gichuru.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1963James Samuel GichuruKANU
1969James Samuel GichuruKANUMfumo wa Chama Kimoja
1974James Samuel GichuruKANUMfumo wa Chama Kimoja
1979James Samuel GichuruKANUMfumo wa Chama Kimoja
1983Jonathan NjengaKANUMfumo wa Chama Kimoja.
1988Samuel Ngige MwauraKANUMfumo wa Chama Kimoja
1992George NyanjaFord-Asili
1997George NyanjaNDP
2002Simon Kanyingi KuriaKANU
2007Peter Mungai MwathiFord-People
2013 John Kiragu ChegeTNA
2017Peter Mungai MwathiJubilee Party

Kata na Wodi

[hariri | hariri chanzo]
Kata
Kata Idadi ya Watu*
Karambani27,369
Limuru42,084
Tigoni11,578
Ndeiya26,892
Ngecha12,318
Rironi8,589
Jumlax
*Hesabu ya 1999.
Wards
Wodi Wapiga Kura Waliojisajili Baraza la Utawala wa Mitaa
Bibirioni6,575Munisipali ya Limuru
Kamirithu13,100Munisipali ya Limuru
Limuru Central4,096Munisipali ya Limuru
Limuru East4,945Munisipali ya Limuru
Tigoni6,082Kiambu county
Ndeiya10,266Kiambu county
Ngecha10,283Kiambu county
Jumla55,347
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]