Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Lari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Eneo bunge la Lari ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika kaunti ya Kiambu miongoni mwa majimbo kumi na mawili ya kaunti hiyo.

Jimbo hili lina wodi sita ambazo huwachagua madiwani kwa Baraza la Kaunti.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo la Lari lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1966, uchaguzi wa pili wa Taifa huru la Kenya. Mbunge wake wa kwanza alikuwa J. M. Koinange.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1966 J. M. Koinange KANU
1969 Andrew Kuria Kinyanjui KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1974 Andrew Kuria Kinyanjui KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1979 Peter Turuthi Mungai KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1983 Peter Turuthi Mungai KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1988 Andrew Kuria Kinyanjui KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Philip Gitonga Ford-Asili
1997 Philip Gitonga SDP
2002 James Viscount Kimathi KANU
2007 David Njuguna Kiburi Mwaura PPK

Kata na Wodi

[hariri | hariri chanzo]
Kata
Kata Idadi ya Watu*
Gatamaiyu 14,532
Gitithia 8,304
Kamae 11,905
Kamburu 13,970
Kijabe 21,000
Kinale 13,127
Kirenga 17,991
Lari 9,425
Nyanduma 15,993
Jumla x
*Hesabu ya 1999.
Wodi
Wodi Wapiga Kura waliojiandikisha
Gatamaiyu 12,122
Kijabe 9,309
Kinale 8,486
Kirenga 7,620
Lari 6,962
Nyanduma 6,007
Jumla 50,506
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]