Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Fafi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Fafi ni mojawapo ya majimbo 290 ya uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Garissa, Kaskazini Mashariki mwa nchi. Lina wodi sita, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Garissa County.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988Ibrahim Mohamed SalatKANUMfumo wa Chama Kimoja
1992Ibrahim Mohamed SalatKANU
1997Elias Barre ShillKANU
2002Aden SugowKANU
2007Aden SugowKANU
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha
Bura962
Fafi1,319
Jara Jila402
Masabubu837
Nanighi3,060
Welmerer2,759
Jumla9,339
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]