Eneo bunge la Bomachoge

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eneo bunge la Bomachoge ni moja kati ya Majimbo ya Uchaguzi ya Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Kisii.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
KenyaNchi zingine · Atlasi


Historia[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1988.

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Zedekiah Mekenye Magara KANU Mfumo wa chama Kimoja
1992 Ferdinard Ondambu Obure Ford-K
1997 Zephaniah M. Nyang’wara Ford-K
2002 Joel Onyancha Ford-People
2007 Joel Onyancha Ford-People Kiti hiki kilitangazwa wazi mnamo Desemba 2008 kutokana na madai ya udanganyifu katika uchaguzi wa 2007 [2]
2009 Simon Ogari ODM Uchaguzi Mdogo [3]

Wodi[hariri | hariri chanzo]

Wodi
Wodi Wapoga Kura waliojisajili Utawala wa Mitaa
Central 2,509 Ogembo (Mji)
Egetuki 4,148 Ogembo (Mji)
Getare 2,017 Ogembo (Mji)
Tendere 4,113 Ogembo (Mji)
Magena 10,828 Gucha county
Magenche 10,309 Gucha county
Majoge Masaba 9,670 Gucha county
Misesi 4,334 Gucha county
Sengera 9,953 Gucha county
Total 57,881
*Septemba 2005 [4].

Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]