Eneo Bunge la Budalangi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Eneo Bunge la Budalangi ni eneo la uchaguzi katika wilaya ya Bunyala. Budalangi lipandishwa madaraka kuwa wilaya mwaka wa 2007 na rais mwai kibaki. Hii ilikuwa kwa minajili ya kueneza kazi na wajibu wa serikali karibu na wananchi wake. Kabla ya kubadilishwa kuwa wilaya Budalangi ilikuwa tarafa katika wilaya ya Busia. Ilibadilishwa na ikaitwa wilaya ya Bunyala.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Eneo Bunge la Budalangi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Eneo bunge hili kwenye maongozi ya mheshimiwa Ababu Tawfiq Namwamba imepiga hatua kadhaa za maendeleo. Maendeleo haya yamekuwa muhimu katika kuikomboa Budalang'i ilokuwa hafifu.