Endless Love

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Endless Love”
“Endless Love” cover
Single ya Diana Ross na Lionel Richie
kutoka katika albamu ya Endless Love: Original Motion Picture Soundtrack
Muundo 7" single
Aina Pop
Urefu 4:24
Studio Motown
Mtunzi Lionel Richie
Mtayarishaji Lionel Richie

"Endless Love" ni wimbo uliotungwa kama wimbo wa kushirikiana kati ya wanamuziki wanaoimba nyimbo za miondondoko ya Soul Diana Ross wakishirikiana na Lionel Richie, ambaye yeye ndiye aliyeandika wimbo huu. Katik wimbo huu, kila mwimbaji anamwambia mwenzake juu ya mapenzi yake uu yake yasiyokuwa na mwisho juu ya mwenzake. Wimbo huu uliridiwa na mwanamzuiki mwingine anayeimba nyimbo zenye mahadhi ya Sul Luther Vandross kwa kushirikiana na mwanamuziki anayeimba miondoko ya Pop Maria Carey, lakini pia wimbo huu ulirudia na mwanamuziki mwingine aitwaye Kenny Rogers lakini halikadhalika kundi la Glee pia walirudia wimbo huu

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati (1981) Ilipata
nafasi
Dutch Singles Chart 10
Norwegian Singles Chart 8
Swedish Singles Chart 5
Swiss Singles Chart 6
UK Singles Chart 7
U.S. Billboard Hot 100 1
U.S. Billboard Adult Contemporary 1
U.S. Billboard Black Singles 1

Toleo la Luther Vandross na Mariah Carey[hariri | hariri chanzo]

“Endless Love”
“Endless Love” cover
Single ya Luther Vandross and Mariah Carey
kutoka katika albamu ya Songs
Muundo CD single, cassette single, 7" single
Aina Pop
Urefu 4:21
Studio Epic
Mtunzi Lionel Richie

Wimbo huu pia ulirudiwa na Luther Vandross akishirikiana na Mariah Carey, na utayarishwa na Walter Afanasieff

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati (1994) Ilipata
nafasi
Australian Singles Chart[1] 2
Austrian Singles Chart[2] 13
Canadian Singles Chart[3] 14
Dutch Singles Chart[4] 6
European Singles Chart[5] 7
Finnish Singles Chart[6] 11
French Singles Chart[7] 12
German Singles Chart[8] 14
Irish Singles Chart[9] 4
New Zealand Singles Chart[10] 1
Norwegian Singles Chart[11] 6
Swedish Singles Chart[12] 10
Swiss Singles Chart[13] 6
UK Singles Chart[14] 3
U.S. Billboard Hot 100 2
U.S. Billboard Hot Adult Contemporary Tracks 11
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs 7

Mauzo na Tuzo[hariri | hariri chanzo]

Msambazaji Mauzo Tuzo
Australia 75,000+ Platinum
New Zealand 7,500+ Gold
United States 500,000+ Gold

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Australian Singles Chart
  2. Austrian Singles Chart
  3. Canadian Singles Chart
  4. Dutch Singles Chart
  5. "European Singles Chart". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-05-25. Iliwekwa mnamo 2010-04-01. 
  6. "Finnish Singles Chart". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2010-04-01. 
  7. French Singles Chart
  8. German Singles Chart
  9. Irish Singles Chart
  10. "New Zealand Singles Chart". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-10-14. Iliwekwa mnamo 2010-04-01.  Unknown parameter |https://web.archive.org/web/20151014214331/http://charts.org.nz/showitem.asp?interpret= ignored (help) Archived 14 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
  11. Norwegian Singles Chart
  12. Swedish Singles Chart
  13. Swiss Singles Chart
  14. UK Singles Chart