If It's Over
“If It's Over” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Mariah Carey kutoka katika albamu ya MTV Unplugged | |||||
Muundo | CD single, cassette single | ||||
Aina | R&B, soul | ||||
Urefu | 3:47 | ||||
Studio | Columbia | ||||
Mtunzi | Mariah Carey, Carole King | ||||
Mtayarishaji | Mariah Carey, Walter Afanasieff | ||||
Mwenendo wa single za Mariah Carey | |||||
|
"If It's Over" ni wimbo ulioandikwa na mwandishi wa Kiingereza ambaye pia ni mwimbaji Mariah Carey akishirikiana na Carole King na pia wimbo huu uliandaliwa na Carey mwenyewe kwa kushirikiana an Walter Afanasieff kwa ajili ya albamu ya pili ya Mariah, iliyojulikana kwa jina la Emotions iliyotoka mwaka 1991. Kati auandaaji wa albamu hii, King alishauri kuwa, ingekuwa vema kama Mariah angerudia wimbo wake wa "(You Make Me Feel Like) A Natural Woman", Lakini Mariah alikataa na kusema anapendelea kuandika nyimbo zake mwenyewe, na pia alidai kushindwa kufikia kiwango cha wimbo huo.
Miezi michache baada ya kutoka kwa albamu ya Emotions, Carey aliuimba wimbo huo katika kipindi cha televisheni cha MTV Unpugged kama wimbo wa pili kutoka katika orodha ya nyimbo zake. Nyimbo zake kutoka katika albamuh hi ziliweza kufanya vizuri nchini Marekani na katika albamu nzima nyimbo sita ziliweza kufika katika nafasi ya kwanza.
Kuhusu wimbo
[hariri | hariri chanzo]japokuwa wimbo huu ukiandikwa na Mariah Carey akishirikiana na Carole King, lakini kuna kila dalili kuwa wimbo huu umefuata miondoko na baadhi ya maudhui kutoka katika wimbo wa Saturday Night Live .
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]Australian/European CD single
- "If It's Over" (live) - 3:47
- "If It's Over" - 4:38
Japanese CD single
- "If It's Over" (live) - 3:47
- "Emotions"
- Special spoken message for Japanese fans
European CD maxi-single
- "If It's Over" (live) - 3:47
- "If It's Over" - 4:38
- "Someday" (new 12" jackswing)
Chati
[hariri | hariri chanzo]Chati | Ilipata nafasi |
---|---|
Dutch Singles Chart[1] | 80 |