Music Box

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Music Box
Music Box Cover
Studio album ya Mariah Carey
Imetolewa 17 Agosti 1993 (UK)
31 Agosti 1993 (U.S.)
Imerekodiwa Agosti 1992—Mei 1993 at Right Track Studios, Sony Studios, Axis Studios, Electric Lady Studios, House of Sound Studios (NY), The Plant Studios (Sausalito, CA), The Record Plant (Los Angeles, CA), & Criteria Recording Studios (Miami, FL)
Aina Pop, R&B, Adult Contemporary
Urefu 41:58 (North American edition)
47:25 (international edition)
46:19 (Latin American edition)
Lebo Columbia
CK-53205
Mtayarishaji Mariah Carey, Dave Hall, Walter Afanasieff, David Cole, Robert Clivillés, Babyface, & Daryl Simmons
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Mariah Carey
Emotions
(1991)
Music Box
(1993)
Merry Christmas
(1994)

Music Box ni albamu ya nne, na albamu ya tatu ya studio kutoka kwa mwanamuziki wa nchini Marekani anayeimba miondoko ya R&B, Mariah Carey. Albamu hii ilitolewa na kupitia studio za Columbia records tarehe 32 Agasti 1993, katika Merekani ya kusini. Albamu hii inajumuisha mashairi yaliyotungwa na Mariah mwenyewe lakini akishirikiana na Walter Afanasieff ambaye amewahi kufanya nae kazi hapo awali katika albamu ya Emotions (albamu) mwaka 1991. Katika albamu hii, Mariah ameweza kushirikiana na waimbaji wengine mashuhuri kama vile Babyface na Robert Clivillés, David Cole

Single inayoongoza katika albamu hii, inayojulikana kama vile Dreamlover, wimbo huu ulikuwa wimbo uliopata mafanikio zaidi wakati wa kutolewa, ulifanikiwa kufika katika nafasi ya kwanza katika shati ya muziki ya Marekani, na halikadhalika katika chati ya single ya nchini Canada. Wimbo wa Without You ulikuwa wimbo wa kwanza kufika katika nafasi ya kwanza katika chati ya muziki ya Uingereza na nchini nyinhine kadhaa katika bara la Ulaya. Mariah aliteuliwa kugombea tuzo za "Best Female Pop Vocal Performance" katika wimbo wa "Dreamlover" katika Grammy Awards of 1994 lakini alishindwa kupata tuzo hiyo, na badala yake ilichukuliwa na Whitney Houston; baadae alipata nafasi ya kugombea tena nafasi hiyo kupitia wimbo wake wa "Hero" katika tuzo ya Grammy Awards of 1995 lakini kwa mara nyingine tena hakuweza kupata tuzo hiyo.

Lakini pamoja na yote hayoAlbamu ya Music Box inabaki kuwa moja kati ya albamu zilizowahi kufanya vizuri zaidi katika mauzo, kwa kufanikiwa kuuza zaidi ya nakala milioni 28.[1]

Mapokezi[hariri | hariri chanzo]

Music Box iliingia katika chati ya muziki ya Marekani Billboard 200 na kufikia katika nafasi ya pili, kutokana na kupata mafanikio makubwa katika mauzo kiasi cha kuuza nakala 174,000, ilifanikiwa kufika kaatika nafasi ya kwanza baada ya wiki sita tangu itolewe. Albamu hii ilipata mafanikio zaidi kwa upandwe wa mauzo kaatika wiki ya 15, ambapo hapo ilipata kuuza nakala takribani 505,000. Ilifanikiwa kukaa katika nafasi kwanza kwa jumla ya wiki nane zisizo za mfululizo. Ilikaa katika albamu kumi bora kwa kwa kipindi cha week thelathini na katika chati ya Billboard kwa wiki 128, ( hii ikiwa ni zaidi ya miaka miwili, hali ambayo hakuwahi kutokea katika albamu zake zilizopita. Mwaka 1994, albamu hii ilishika nafasi ya pili katika albamu iliyoongoza kwa mauzo nchini Marekani.

Orodha ya Nyimbo[hariri | hariri chanzo]

 1. "Dreamlover" (Mariah Carey, Dave Hall) – 3:54
 2. "Hero" (Carey, Walter Afanasieff) – 4:19
 3. "Anytime You Need a Friend" (Carey, Afanasieff) – 4:26
 4. "Music Box" (Carey, Afanasieff) – 4:57
 5. "Now That I Know" (Carey, David Cole, Robert Clivillés) – 4:19
 6. "Never Forget You" (Carey, Babyface, Daryl Simmons) – 3:46
 7. "Without You" (Peter Ham, Tom Evans) – 3:36
 8. "Just to Hold You Once Again" (Carey, Afanasieff) – 3:59
 9. "I've Been Thinking About You" (Carey, Cole, Clivillés) – 4:48
 10. "All I've Ever Wanted" (Carey, Afanasieff) – 3:51

International edition
11. "Everything Fades Away" (Carey, Afanasieff) – 5:25

Latin American edition
11. "Héroe" (Carey, Afanasieff) – 4:19

Wafanyakazi[hariri | hariri chanzo]

Wanamuziki[hariri | hariri chanzo]

 • Mariah Carey - lead vocals, background vocals
 • Walter Afanazieff - keyboards, additional keyboards, synthesizers, rhythm programming, Hammond B3 organ, bass, Synclavier acoustic guitar (tracks 1-4, 7-8, 10)
 • Dave Hall - synthesizers, keyboards, rhythm programming (track 1)
 • David Cole - keyboards (tracks 5, 9)
 • Babyface - keyboards, percussion, background vocals (track 6)
 • Ren Klyce - Akai and Roland programming (tracks 1-4, 7-8, 10)
 • Gary Cirimelli - MacIntosh and synthesizer programming (tracks 1-4, 7-8, 10)
 • Ricky Crespo - programming (tracks 5, 9)
 • Shawn Lucas - programming (tracks 5, 9)
 • James T. Alfano - programming (tracks 5, 9)
 • Michael Landau - guitars (tracks 2-4, 8)
 • Kayo - bass (track 6)
 • Robert Clivilles - drums, percussion (tracks 5, 9)
 • Mark C. Rooney - background vocals (tracks 3-4)
 • Cindy Mizelle - background vocals (track 3)
 • Melonie Daniels - background vocals (track 3, 5, 7-9)
 • Kelly Price - background vocals (track 3, 5, 7-9)
 • Shanrae Price - background vocals (track 3, 5, 7-9)

Watayarishaji[hariri | hariri chanzo]

 • Mariah Carey - arranger
 • Dave Hall - arranger (track 1)
 • Walter Afanasieff - arranger (tracks 2-4, 7-8, 10)
 • Robert Clivilles - arrager (tracks 6, 9)
 • David Cole - arranger (tracks 6, 9)
 • Babyface - arranger (track 6)
 • Daryl Simmons - (track 6)
 • Bob Rosa - engineer, mix engineer (track 1, 5, 9)
 • David Gleeson - engineer (track 2)
 • Dana Jon Chappelle - engineer, vocal engineering
 • Acar Key - engineer (tracks 5, 9)
 • Frank Filipetti - engineer (tracks 5, 9)
 • Jim Zumpano - engineer (track 6)
 • Jim Caruana - 2nd engineer
 • Jen Monnar - 2nd engineer (tracks 2-3, 8, 10)
 • Manny LaCarrubba - 2nd engineer, additional engineering (tracks 2, 4, 7)
 • Kyle Bess - 2nd engineer (tracks 2-4, 8)
 • Kent Matcke - 2nd engineer (track 7)
 • Mark Krieg - 2nd engineer (track 9)
 • Kirk Yano - additional tracking engineer (tracks 1)
 • Mick Guzauski - mixing (tracks 1-4, 6-10)
 • Bob Ludwig - mastering, Gateway Master Studios Portland, ME

Chati na Tuzi[hariri | hariri chanzo]

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati Ilipata
nafasi
Australian Albums Chart[2] 1
Austrian Albums Chart[3] 1
Belgian Wallonia Albums Chart[4] 34
Brazilian Albums Chart[5] 1
Canadian Albums Chart[6] 5
Dutch Albums Chart[7] 1
Finnish Albums Chart[8]
French Albums Chart[9] 1
German Albums Chart[10] 1
Hong Kong Albums Chart[11] 1
Hungarian Albums Chart[12] 4
Italian Albums Chart[13] 2
Japanese Albums Chart[14] 2
Mexican Albums Chart[15]
New Zealand Albums Chart[16] 2
Norwegian Albums Chart[17] 2
Polish Albums Chart[18] 1
Singapore Albums Chart[19] 1
South Korea Albums Chart[20] 1
Spanish Albums Chart[21] 2
Swedish Albums Chart[22] 3
Swiss Albums Chart[23] 1
Taiwan Albums Chart[24] 1
UK Albums Chart[25] 1
U.S. Billboard 200[26] 1

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

Country (Provider) Certification
(sales thresholds)
Australia (ARIA) 11x Platinum[27]
Austria (IFPI) 2x Platinum[28]
Belgium (IFPI) 2x Platinum[29]
Brazil (ABPD) Gold[30]
Canada (CRIA) 7x Platinum[31]
Finland (IFPI) Gold[32]
France (SNEP) Diamond[33]
Germany (IFPI) 2x Platinum[34]
Hong Kong (FIMI) 5x Platinum[35]
Italy (FIMI) 5x Platinum[36]
Japan (RIAJ) Million[37]
Mexico (AMPROFON) Platinum[38]
Netherlands (NVPI) Gold[39]
New Zealand (RIANZ) 5x Platinum[40]
Norway (IFPI) Platinum[41]
Poland (ZPAV) Platinum[42]
Singapore (RIAS) 8x Platinum[43]
South Korea (Hanteo) 10x Platinum[44]
Spain (PROMUSICAE) 4x Platinum[45]
Sweden (IFPI) Platinum[46]
Switzerland (IFPI) 4x Platinum[47]
Taiwan (BPI) 10x Platinum[48]
United Kingdom (BPI) 5x Platinum[49]
United States (RIAA) Diamond[50]

 • Most certifications are from old criterion (Sales may be higher than the certification level says now).

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. Mariah Carey — Music Box. 'Live Nation'. Live Nation Entertainment. Iliwekwa mnamo 2010-03-23.[dead link]
 2. Australian Albums Chart
 3. Austrian Albums Chart
 4. Wallonia Albums Chart
 5. ABPD. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-05-19. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
 6. Canadian Albums Chart
 7. Dutch Albums Chart
 8. Finnish Albums Chart
 9. French Albums Chart
 10. German Albums Chart. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-03-16. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
 11. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-01-02. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
 12. Hungarian Albums Chart. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-12-08. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
 13. Italian Albums Chart. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-05-06. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
 14. Oricon Albums Chart
 15. Oricon Albums Chart
 16. New Zealand Albums Chart. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-06-21. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
 17. Norwegian Albums Chart. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
 18. Norwegian Albums Chart. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
 19. Norwegian Albums Chart. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
 20. Norwegian Albums Chart. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
 21. Spanish Albums Chart
 22. Swedish Albums Chart
 23. Swiss Albums Chart
 24. Norwegian Albums Chart. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
 25. UK Albums Chart
 26. U.S. Albums Chart. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-05-04. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
 27. ARIA
 28. IFPI Austria
 29. IFPI Belgium
 30. ABPD. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-05-19. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
 31. CRIA. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-01-11. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
 32. IFPI Finland. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-09-24. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
 33. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-11-20. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
 34. IFPI Germany
 35. IFPI Germany
 36. FIMI
 37. RIAJ
 38. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-01-06. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
 39. NVPI. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-01-13. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
 40. RIANZ. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-03-14. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
 41. IFPI Norway. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-01-18. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
 42. http://www.mariahjournal.com/infozone/charts/albums/poland/index.shtml
 43. http://www.mariahjournal.com/infozone/charts/albums/singapore/index.shtml
 44. http://www.mariahjournal.com/infozone/charts/albums/southkorea/index.shtml
 45. PROMUSICAE
 46. IFPI Sweden. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-02-17. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
 47. IFPI Switzerland
 48. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2014-06-20. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
 49. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-01-17. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
 50. http://www.riaa.com/goldandplatinumdata.php?table=SEARCH