Honey (Wimbo wa Mariah Carey)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Honey)
Jump to navigation Jump to search
“Honey”
“Honey” cover
Single ya Mariah Carey
kutoka katika albamu ya Butterfly
Muundo CD single, cassette single, 7" single, 12" single, VHS
Aina Pop, R&B
Urefu 4:58
Studio Columbia
Mtunzi Mariah Carey, Puff Daddy, Stevie J, Q-Tip (The Ummah), Bobby Robinson, Stephen Hague, Ronald Larkins, Malcolm McLaren, Larry Price
Mtayarishaji Mariah Carey, Puff Daddy, Stevie J, Q-Tip (The Ummah)
Certification Platinum (U.S.)
Gold (Australia)
Mwenendo wa single za Mariah Carey
"Forever"
(1996)
"Honey"
(1997)

"Honey" ni wimbo ulioandaliwa na kutungwa na mwimbaji wa Marekani Mariah Carey kwa kushirikiana na Puff Daddy, Stevie J na Q-Tip The Ummah"), na ulirekodiwa kwa ajili ya albamu ya saba ya Carey iliyoitwa Butterfly iliyotoka mwaka 1997. Wimbo huu ulitoka kama single ya kwanza katika albamu hii na kufanikiwa kushika nafasi ya kwanza nchini Marekani

Wimbo huu unajulikana zaidi kutokana na video yake ambayo inamwonesha Mariah akiwa katika mwonekano wa kuvutia zaidi kuliko alivyokuwa akionekana hapo awali. Wimbo huu uliweza kumtoa katika nyimbo za aina ya pop na kumpeleka mbele zaidi katika nyimbo za aina hiyo. Mwaka 1998, wimbo huu ulichaguliwa kugombea tuzo za Grammy katika jamii, Wanamuziki wa kike wenye sauti nzuri wanaoimba nyimbo aina ya R&B. na pia tuzo ya Grammy wa kwa wimbo bora

Muundo na orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Worldwide CD single

 1. "Honey" (LP Version)
 2. "Honey" (Bad Boy Remix)

Australian/European/U.S. CD maxi-single

 1. "Honey" (LP Version)
 2. "Honey" (Bad Boy Remix featuring Mase & The Lox)
 3. "Honey" (Classic Mix)
 4. "Honey" (So So Def Mix featuring Da Brat & JD)
 5. "Honey" (Classic Instrumental)

UK CD maxi-single #1

 1. "Honey" (LP Version)
 2. "Honey" (Bad Boy Remix featuring Mase & The Lox)
 3. "Honey" (Smooth Version With Intro)
 4. "Honey" (So So Def Mix featuring Da Brat & JD)

UK CD maxi-single #2

 1. "Honey" (LP Version)
 2. "Honey" (Classic Mix)
 3. "Honey" (Morales Club Dub)
 4. "Honey" (Mo' Honey Dub)
 5. "Honey" (Classic Instrumental)

Chati[hariri | hariri chanzo]

"Honey" ni wimbo wa Mariah wa kumi na mbili kuwahi kufika katika nafasi ya kwanza katika chati ya Marekani ya Billboard Hot 100 na kuwa single yake ya tatu kuwahi kufika katika nafasi ya kwanza, na kumafanya kuwa msanii mwenye nyimbo nyingi zaidi kuwahi kufika katika nafasi ya kwanza, huku single zake nyingine zilizowahi kufika katika nafasi hiyo zikiwa ni pamoja na "Fantasy" na "One Sweet Day" zate za mwaka 1995, ambazo baada ya kutoka zilikaa kwa majuma matatu katika nafasi ya kwanza ya chati, yaani kuanzia tarehe 7 mwezi Septemba hadi tarehe 27, mwezi huo huo. Nafsi hii, ilikuja kuchukuliwa na wimbio wa "Mo Money ulioimbwa na Nortorious B.I.G akishirikiana na Puff Daddy pamoja na Mase. Wimbo wa "Honey" ulisalia katika nyimbo arobaini bora kwa majuma kumi na nane.

Chati (1997) Ilipata
nafasi
Australian Singles Chart[1] 8
Austrian Singles Chart[2] 39
Belgian Flanders Singles Chart[3] 30
Belgian Wallonia Singles Chart[4] 29
Canadian Singles Chart[5] 2
Dutch Singles Chart[6] 15
European Singles Chart[7] 16
Finnish Singles Chart[8] 12
French Singles Chart[9] 39
German Singles Chart[10] 38
Irish Singles Chart[11] 19
Japanese Singles Chart[12] 39
New Zealand Singles Chart[13] 3
Spanish Singles Chart[14] 4
Swedish Singles Chart[15] 8
Swiss Singles Chart[16] 23
UK Singles Chart[17] 3
U.S. Billboard Hot 100[18] 1
U.S. Billboard Hot Dance Club Play[18] 1
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs[18] 2
U.S. Billboard Rhythmic Top 40[18] 1

Mauzo[hariri | hariri chanzo]

Msambazaji Mauzo Certification
Australia 35,000+ Gold
United States 1,000,000 Platinum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]