Nenda kwa yaliyomo

Bringin' On the Heartbreak

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Bringin' On the Heartbreak”
“Bringin' On the Heartbreak” cover
Single ya Def Leppard
Muundo Vinyl single
Aina singles
Urefu 4:34
Mtunzi Joe Elliott, Pete Willis, Steve Clark
Mtayarishaji Robert John "Mutt" Lange
Mwenendo wa single za Def Leppard
"Let It Go"
(1981)
"Bringin' On the Heartbreak"
(1981)
“Bringin' On the Heartbreak (remix)”
Single ya Def Leppard
Muundo Vinyl single
Aina singles
Urefu 4:34
Studio Mercury
Mtunzi Joe Elliott, Pete Willis, Steve Clark
Mtayarishaji Robert John "Mutt" Lange
Mwenendo wa single za Def Leppard
"Too Late For Love"
(1983)
"Bringin' On the Heartbreak (remix)"
(1984)
"Women"
(1987)

"Bringin' On the Heartbreak" ni wimbo ambao awali ulirekodiwa na bendi ya muziki wa hard rock ya Kiingereza ya Def Leppard. Ilikuwa single ya pili kutoka katika albamu yao ya mwaka wa 1981, High 'n' Dry. Wimbo ulitungwa na wanachama watatu wa bendi: Steve Clark, Pete Willis, na Joe Elliott. Mnamo mwaka wa 2002, wimbo ulirudiwa tena na mwimbaji pop/R&B wa Kimarekai Bi. Mariah Carey kwa ajili ya albamu yake ya Charmbracelet. Watathimini wengi wale waliopitia wimbo wa mwimbaji wa R&B - wanadai kwamba huu uliorudiwa ulikuwa mkali zaidi ya ule wa wakina Def Leppard.

Toleo la Def Leppard[hariri | hariri chanzo]

Kundi la Def Leppard liliurudia wimbo huu kwa ajili ya albamu yao ya pili ya High 'n' Dry. Albamu hii ya High 'n' Dry ilitoka nchii Marekani tarehe 13 Novemba ikiwa na nyimbo kama vile "Me and My Wine" na "You Got Me Runnin'" . Albamu hii haikuwahi kuingia katika chati ya muziki ya Marekani. Lakini video ya albamu hii ilikuwa maarufu sana katika maeneo mengi, na hii ikasababiaha kuongezeka kwa mauzo na kufanikiwa kuuza hadi kiasi cha nakala milioni mbili. Nchini Mexico albamu hii ilitolewa na kuitwa "Llevarlo en la Desilusión" na "Yo y mi Vino" ("Me and My Wine").

Albamu ya High 'n' Dry uilitoka rasmi mwezi Mei mwaka 1984 ikiwa na nyimbo nyingine mpya mbili ambazo moja kati ya nyimbo hizo mpya ni wimbo wa "Bringin' On the Heartbreak". Akishirikiana na Phil Collen aliyekuwa anapiga jitaa. Wimbo huu baada ya kutoka kwa mara ya pili ulifanikiwa kushika nafasi 61 katika chati ya muziki ya Marekani ya Billboard Hot 100. Baadae Wimbo wa kwa wa aina hii ulikuja kujumishwa katika albamu yao Vault: Def Leppard Greatest Hits (1980–1995) (1995) Best of Def Leppard (2004) na Rock of Ages: The Definitive Collection iliyotoka mwaka (2005).

Video ya muziki[hariri | hariri chanzo]

Video ya kwanza ya muziki huu, iliongozwa na Doug Smith na video hii ilirekodiwa wakti mwanamziki huyu alipokuwa akiimba moja kwa moja katika ukumbi wa maonesho ya sanaa wa Royal Court katika eneo la Livepool nchini Uingereza hii ikiwa ni tarehe 22 Julai 1981. Katika kurekodi video ya wimbo huu, kulikuwa na picha kutoka katika nyimbo za "Let It Go" na "High 'n' Dry") kutoka katika tamasha la Don Kirshner' lililofanyika nchini Marekani [1] The second music video, directed by David Mallet, was shot on Februari 1984 in Jacob's Biscuit Factory in Lake, Dublin, Ireland.[2]

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

7" Mercury / 818 779-7 (U.S.)
 1. "Bringin' On the Heartbreak" (remix)
 2. "Me & My Wine" (remix)

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati (1984) Ilipata
nafasi
U.S. Billboard Hot 100 1 61

1 Remix.

Toleo la Mariah Carey[hariri | hariri chanzo]

“Bringin' On the Heartbreak”
“Bringin' On the Heartbreak” cover
Single ya Mariah Carey
B-side "Miss You"
Muundo CD single
Aina Pop
Urefu 4:30
Studio Island
Mtayarishaji Mariah Carey, Randy Jackson
Mwenendo wa single za Mariah Carey
"I Know What You Want"
(2003)
"Bringin' On the Heartbreak"
(2003)
"U Make Me Wanna"
(2004)

Mariah Carey alirudia wimbo huu kwa kushirikiana an Randy Jackson kwa ajili ya albamu yake ya 12, iliyojulikana kama Charmbracelet . Carey anasema kuwa,alikuwa akiupenda wimbo huu tangu akiwa mdogo na hivyo na alikuwa akifikiria kuurudia tangu akiwa mdogo.[3]. Wimbo huu ulitengenezwa katika miondoko ya rock na Rocan akipiga jitaa. .[4]


Kama ilivyokuiwa kwa wimbo wa "Boy (I Need You)," iliyokuwa single ya pili kutoka katika albamu hii, wimbo wa, "Bringin' On the Heartbreak" pia ulishindwa kuingia katika chati hiyo ya mziki ya Marekani maarufu kwa jina la Billboard Hot 100, [5] Na pia ukishindwa kuingia katika chati ya Bubbling Under Hot 100 Singles

Ulishika nafasi 40, nchini Switzeland lakini ukashindwa pia kuingia katika nyimbo 40 bora za nchini Austria.Kwa pamoja Junior Vasquez, Mike Rizzo na Ruanne walitengeneza wimbo huu kwa mara ya pili kama Rimiksi, na kutangazwa katika nchi mbalimbali na hatimaye ulifanikiwa kufika katika nafasi tano katika chati ya Marekani ya Billboard ya Hot Dance Club Play.[5][6] Video ya single hii, inafanana na filamu ya mwaka 1979 ya The Rose alipokuiwa kijaribu kutafuta furaha katika masuala ya muziki. Video hii ilitengenezwa tarehe 8 Machi 2003 na kuongozwa na Sanaa Hamri .[7][8]

Alipoulizwa kuhusu toleo la Carey, Joe Elliott aliliambia gazeti la Las Vegas Sun, kuwa, nadhani amefanya kazi nzuri, ameweza kupangilia vizuri lakini si kama toleo lile toleo la rok Akiongelea kuhusu sauti ya Carey mwishoni mwa wimbo huu amesema sauti ya Carey inaweza kufanana na ile ya Tom Waits. [9] A number of reviews were positive,[10] Rolling Stone akiuelezea wimbo huu, anaema unamvuto wa ajabu. "[11] Phil Collen praised Carey's cover as a "genuine version of our song"[12] and defended it from Def Leppard's more critical fans: "The fans really get it wrong sometimes. She's on our side and it's an honour she's done it. Really, that's the only way we're getting played."[13] Carey's version was number 24 on VH1's "Least Metal Moments"[14]—in a segment subtitled "Bringin' On the Headache"—because many metal fans and musicians didn't like the remake. Bill Lamb of About.com ranked it at number 2 on his list of "Top 5 R&B/Pop Crossover Cover Songs" and said Carey's version is "superior to the original."[15]

Orodha ya nyimbo na Muundo[hariri | hariri chanzo]

European CD single

 1. "Bringin' On the Heartbreak" (Mainstream Edit)
 2. "Miss You" (featuring Jadakiss)

European CD maxi-single

 1. "Bringin' On the Heartbreak" (Mainstream Edit)
 2. "Miss You" (featuring Jadakiss)
 3. "Bringin' On the Heartbreak" (Live)
 4. "Bringin' On the Heartbreak" (Video)

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati (2003) Ilipata
nafasi
Austrian Singles Chart[16] 55
Belgian Wallonia Singles Chart[17] 40
Swiss Singles Chart[18] 28
U.S. Billboard Hot Dance Club Play[19] 5

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. "Def Video 1 - High 'N' Dirty 1981 Era". Def Leppard UK.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-08-16. Iliwekwa mnamo 2007-09-15.
 2. "Def Video 2 - Pyromania 1983/High 'N' Dirty 1984 Era". Def Leppard UK.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-07-20. Iliwekwa mnamo 2007-09-15.
 3. LAUNCH Radio Networks. "Mariah Carey Says She Loves Def Leppard Cover". LAUNCHcast. 30 Juni 2003. Retrieved 26 Januari 2006.
 4. Armstrong, Mark and Morden, Darryl. "Mariah Carey Covers Def Leppard On New Album". LAUNCHcast. 24 Oktoba 2002. Retrieved 26 Januari 2006.
 5. 5.0 5.1 "Mariah Carey: Artist Chart History — Singles". Billboard. Retrieved 26 Januari 2006.
 6. "Mariah Carey — Bringin' On The Heartbreak". Top40-Charts.com. Retrieved 26 Januari 2006.
 7. Johnson Jr., Billy and Holland, Margy. "Mariah Carey Video Features 'Joe Millionaire,' Dave Navarro" Archived 9 Machi 2005 at the Wayback Machine.. LAUNCHcast. 18 Machi 2003. Retrieved 26 Januari 2006.
 8. Staff report. "For The Record: Quick News On Mariah Carey, Russell Simmons And George W. Bush, Da Brat, Meshuggah, Eels & More". MTV.com. 12 Machi 2003. Retrieved 26 Januari 2006.
 9. Patterson, Spencer. "Leppard's spots" Archived 27 Novemba 2004 at the Wayback Machine.. Las Vegas Sun. 6 Desemba 2002 (weekend edition: 8 Desemba 2002). Retrieved 26 Januari 2006.
 10. Friedman, Roger (2004-03-15). "Mariah's Rich Leppard, Barbra's New Job". Fox News. Iliwekwa mnamo 2007-09-06.
 11. Walters, Barry. Mariah Carey — Charmbracelet Archived 15 Julai 2009 at the Wayback Machine.. Rolling Stone. 19 Novemba 2002 (date of publication: 12 Desemba 2002). RS 911. Retrieved 26 Januari 2006.
 12. "We don't Carey...she'll have to book". Mariah Daily. 2003-08-31. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-07-15. Iliwekwa mnamo 2007-09-06.
 13. "Mariah's A Knock Out In Russia". Mariah Daily. 2003-09-30. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-08-24. Iliwekwa mnamo 2007-09-06.
 14. "40 Least Metal Moments (40-21)". The Greatest. VH1. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-02-22. Iliwekwa mnamo 2007-09-06.
 15. Nero, Mark Edward. "Best R&B Versions of Rock/Pop Songs". About.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-03-15. Iliwekwa mnamo 2007-09-06.
 16. Austrian Singles Chart
 17. Belgian Wallonia Singles Chart
 18. Swiss Singles Chart
 19. "Artist Chart History - Mariah Carey". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-04-04. Iliwekwa mnamo 2008-04-04.