Someday
Mandhari
(Elekezwa kutoka Someday (Mariah Carey song))
| “Someday” | ||
|---|---|---|
| Single ya Mariah Carey kutoka katika albamu ya Mariah Carey | ||
| Imetolewa | 1990 | |
| Muundo | CD single, cassette single, 7" single, 12" single | |
| Imerekodiwa | 1990 | |
| Aina | Pop, R&B | |
| Urefu | 4:09 | |
| Studio | Columbia | |
| Mtunzi | Mariah Carey, Ric Wake | |
| Mtayarishaji | Ric Wake | |
"Someday" ni wimbo ulioandaliwa na mwimbaji Mariah Carey akishirikiana na Ric Wake na kutayarishwa na Wake kwa ajili ya albamu ya Mariah yenye jina lake mwenyewe ya Mariah Carey iliyotoka mwaka 1990.
| Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |