Nenda kwa yaliyomo

Eleuteri wa Paris

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kifodini cha Mt. Denis na wenzake, Basilika la Mt. Denis.

Eleuteri wa Paris alikuwa Mkristo wa karne ya 3 kutoka Roma (Italia).

Akiwa padri huko Paris (Ufaransa) aliuawa pamoja na askofu Denis na shemasi Rusticus kwa kukatwa kichwa kwa sababu ya imani yake[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Oktoba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • "St Denis" , Encyclopædia Britannica, 9th ed., Vol. VII, New York: Charles Scribner's Sons, 1878, uk. 79.
  • "Saint Denis" , Encyclopædia Britannica, 11th ed., Vol. VIII, Cambridge: Cambridge University Press, 1911, ku. 21–2.

Marejeo mengine

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.