Chansela (kiongozi)
Mandhari
Chansela (kwa Kijerumani: "Kanzler"), pia kansela, ni cheo cha mkuu wa serikali, lakini si mkuu wa dola, katika Ujerumani na Austria. Kinafanana na cheo cha waziri mkuu.
Sehemu ya mfululizo wa serikali kuhusu |
Utendaji |
---|
Mkuu wa Nchi |
Serikali |
Baraza la Mawaziri |
|
Mifumo |
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chansela (kiongozi) kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |