Nenda kwa yaliyomo

Carlo Odescalchi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Carlo Odescalchi

Carlo Odescalchi, S.J. (5 Machi 178517 Agosti 1841) alikuwa mwanamfalme na padri wa Italia, halafu Askofu mkuu wa Ferrara, kardinali wa Kanisa Katoliki, na Makamu wa Papa kwa Jimbo la Roma.

Kwa miaka mingi alikuwa mshirika wa karibu wa mapapa Pius VII na Gregori XVI.

Mnamo 1838, alikataa vyeo vyake ili awe Mjesuiti.[1]

Kuna kesi ya kumangataza mtakatifu.

  1.  "Carlo Odescalchi". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.