Ferrara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Ferrara
Nchi Italia
Mkoa Emilia-Romagna
Wilaya Ferrara
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 130,992
Tovuti:  www.comune.ferrara.it

Ferrara ni mji wa Italia katika mkoa wa Emilia-Romagna.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, kuna wakazi wapatao 131,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 9 juu ya usawa wa bahari.

Sehemu ya Mtaguso wa Firenze ilifanyika huko.

Mji wa Renaissance umo katika orodha ya urithi wa dunia ya UNESCO pamoja na delta ya mto Po.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ferrara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.