Nenda kwa yaliyomo

Bobby Goldsmith

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bobby Goldsmith (8 Machi 194618 Juni 1984) alikuwa mmoja wa Waaustralia wa mwanzo kugundulika kuwa na maambukizi ya virusi vya Ukimwi chini Australia, Goldsmith alikuwa mwanariadha na mwanamichezo aliYeshinda medali 17 za mchezo wa kuogelea wakati wa mashindano ya Olimpiki katika jiji la San Francisco mwaka 1982.[1]

Goldsmith alikuwa akiishi kwa kutegemea marafiki zake waliokuwa wakimsaidia kipindi cha ugonjwa wake, marafiki waliotokana na mtandao alioutengeneza hadi alipofikwa na mauti tarehe 8 Mei 1984, marafiki zake hao waliamua kuunda asasi iliyokuja kujulikana kama Bobby Goldsmith Foundation, ikiwa ni asasi ya zamani iliyokuwa ikiwasaidia watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bobby Goldsmith kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.